Friday, 9 June 2017

COMING SOON : USIJISAHAU



Issa Mussa au Cloud 112 anatarajia kuachia filamu yake mpya ambayoame kushoot nchini sweden ambako anaishi kwa sasa
Filamu hiyo yenye maudhui ya kislamu inalenga kuwafumbua macho watu,waishi kwa kumtegemea mungu wasijisahu wafanye ibada. katika filamu hiyo amewaalika wakali wawili kutoka Tanzania Wastara na Suleiman Barafu pamoja na mkewe ambaye ni Prod wa filamu hiyo.

No comments:

Post a Comment

ROUND

ROUND

MR&MRS SAJUKI

MR&MRS SAJUKI

UAMINIFU DHAIFU

UAMINIFU DHAIFU