Wastara Juma Issa nilizaliwa mwaka 1983 ( miaka32) ni Mtanzania pia ni muigizaji wa filamu za kitanzania.
MAISHA NA ELIMU
Nimetoka katika familia ya kidini ya mzee Juma Issa , ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 4 , Nilisoma shule ya msingi mpaka sekondari na kujiunga na chuo cha Madini kilichopo morogoro mwaka 1998 baada ya hapo niliendelea na biashara lakini nilikuwa napenda sana kuigiza.
KUIGIZA
Nilianza rasmi kuigiza mnamo mwaka 1999 kipindi hicho nilikuwa na urafiki na watoto wa mzee Majuto . Mwaka 2006 nilirudi tena rasmi kwenye ulingo wa sanaa na kujiunga na kikundi cha MIALE kilikuwa kinapatikana mwenge.
2007 Nilicheza filamu ya PEREMENDE na TWO BROTHERS katika filamu ya 2 Brothers ndiyo ilinikutanisha na marehemu sajuki akiwa kama director wangu , mwalimu wangu na pia Mume wangu.
2008 Nilitengeneza Filamu yangu ya kwanza ambayo ilikuwa inaitwa MBONI YANGU
TUZO
Year | Event | Prize | Recipient | Result |
---|---|---|---|---|
2010 | CLT | Director Bora (Sajuki) | Mkomanas | Won |
Jumuiya ya ulaya | Mchezaji Bora (Wastara) | Mkomanas | Won | |
2013 | Step Entertainment | Mfanyakazi Bora | Won | |
Shahada ya mfanyakazi bora | mfanyakazi bora | Won | ||
2014 | Mwigizaji Bora | Mr Mrs Sajuki | Won |
No comments:
Post a Comment