Friday, 9 June 2017

CASSIE KABWITA KUJA NA "KWACHA"




Mcheza filamu mwenye jina kubwa nchini Zambia Cassie Kabwita amesema filamu yake ya 'KWACHA"inamafunzo makubwa kwenye familia za kiafrika. Amesema filamu hiyo inafundisha jinsi ya kukabiliana na ukatili wa kijinsia,unyanyasaji wa kijinsia,wivu pamoja na kufundisha  upendo wa kweli

No comments:

Post a Comment

ROUND

ROUND

MR&MRS SAJUKI

MR&MRS SAJUKI

UAMINIFU DHAIFU

UAMINIFU DHAIFU